WELCOME TO UTT-Project & Infrastructure Development Plc
The Development Partner You Can Trust

PLOT SALES BY MONTHLY SALARY DEDUCTION SYSTEM/ MAUZO YA KIWANJA KWA MFUMO WA MAKATO YA MSHAHARA YA KILA MWEZI

Je ungependa kumiliki kiwanja kilichopimwa kwa kukilipia kupitia makato ya mshahara kidogo kidogo mpaka kipindi cha miaka mitatu?

Taasisi yetu inakupa nafasi ya kununua kiwanja kwa njia ya makato ya kila mwezi kutoka kwenye mshahara wako ukiwa mwaajiriwa wa Taasisi za Umma au binafsi. Hapa utaweza kukatwa mpaka miaka mitatu kulingana na matakwa yako. Tafadhali bonyeza linki zifuatazo kupakua/download maelezo zaidi.

  • Bonyesha hapa kwa maelezo zaidi
  • Click here for more information

  •  
     

    Who We Are?

    The UTT Projects and Infrastructure Development Plc (UTT-PID) provides professional services including Rendering Consultancy Services, Funds Arrangement services, Appointment of Service Providers, Project Management Services, and Property Management Services.